MLULI HASA KUPITIA MWANZI TEKNOLOJIA USIYOWEZA KUIPATA SEHEMU YOYOTE DUNIANI PIA ITALINDWA KUPITIA KAZI ZA ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE |
MOJA YA MAMBO MUHIMU AMBAYO ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE HAITA LIACHA NI KUTUNZA UTAMADUNI WA MAKABILA ASILIA YA ULANGA NA KILOMBERO HASA KUPITIA NGOMA ADHIMU YA SANGULA NA MANGONGO |
UMOJA WETU KATIKA KAZI NI MUHIMU LAKINI PIA KATIKA TONGE, HATUANGALII LA NANI KUBWA ZAIDI ILI MRADI KILA MTU AMESHIBA |
WAPOGORO NA WANDAMBA WASIPOKULA WALI WANAONA WAHAJALA, WATOTO WAKIFURAHIA PILAU |
MWAKA HUU 2013 TUPAMBANE NA HIZI KULE NYUMBANI, NYUMBA YA KIJANA ALIYEMALIZA DARASA LA SABA NA KUSHINDWA KUENDELEA NA SHULE...ANAJIANDAA KUOA |
No comments:
Post a Comment