BWANA FRANCIS UHADI (KUSHOTO) AKIWA NA MWALIMU WA SHULE YA SEKONDARI MTIMBIRA AKIWA KWENYE MICHEZO SHULENI HAPO MWALIMU NAE ALISEMA KUWA KUNA UMUHIMU MKUBWA WA KUANZISHA TAASISI KAMA HIYO |
WANAFUNZI WAKISIKILIZA KWA MAKINI MCHADALA UKIENDELEA |
SUALA LA DARAJA KATIKA MTO KILOMBERO LILIKUWA PIA NI SUALA LILILOJADILIWA NA KUTAKA ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE IWAELIMISHE WANANCHI NJIA BORA YA KUDAI UJENZI WA DARAJA HILO |
WANAFUNZI WAKIWA KWENYE BAISKELI WAKIWATAZAMA WENZAO WAKIWA KATIKA MICHEZO. USAFIRI WA BAISKELI NI NYENZO HUHIMU INAYOWAWEZESHA WANAFUNZI KUJA SHULE KWA WAKATI |
KWA JINSI BARABARA ILIVYOMBAYA KWENDA NA GARI NDOGO PIA NI CHANGAMOTO KUBWA. HATA HIVYO TULIWEZA KUFIKA NA KURUDI SALAMA KWA KUWA MVU ZILIKUWA HAZIJAANZA KUNYESHA |
HAIKUWA RAHISI KUWAPATA WANAFUNZI BILA KUPITIA KWA UONGOZI WAO WA SHULE. MWALIMU ALITUSAIDIA KUFIKISHA UJUMBE |
No comments:
Post a Comment