Wananchi na Mizigo wakiwa kwenye Canter |
Wananchi wakivuka katika Kivuko cha mto Kilombero |
Mifugo ikiwa imeifadhiwa katika eneo la kiwanja cha mpira jirani na Ofisi ya Kata ya Mngeta |
......TUNALENGA Kujenga uwezo wa jamii kushiriki katika utawala na kuwajibisha viongozi wao, kuwezesha jamii kufuatilia matumizi ya fedha za umma kupitia PETS, kutoa elimu ya ardhi na utatuzi wa migogoro ya ardhi, utunzaji wa mazingira, kukuza kipato cha jamii hasa wanawake kupitia VICOBA na kuwawezesha wanafunzi kwa kurahisisha upatikanaji wa vitabu katika vituo vya elimu (student centres) PAMOJA TUNAWEZA......TUSHIRIKIANE..
No comments:
Post a Comment