HONGERA ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE

photos

Welcome to UCRC

About Me

Ulanga Community Resource Centre is a not-for-profit company limited by guarantee which was initiated with the aim of capacitating the resident peoples of Ulanga and Kilombero Districts and Tanzania in general to secure the right information and hold their duty bearers accountable in a bid to promote sustainable community development. UCRC as well aims at promoting educational activities in Ulanga District through facilitation of necessary educational resources in the area which include well equipped libraries and study centers. UCRC also works on land and natural resource rights for the marginalized rural people in Tanzania which also include sustainable use of such resources. It also provides legal aid and assistance to the poor, particularly women, children, the disabled and other disadvantaged groups in the society on different themes including land and gender.

Monday, October 8, 2012

5494 KUANZA MTIHANI KIDATO CHA NNE LEO KILOMBERO


Henry Bernard Mwakifuna, Ifakara-Kilombero
JUMLA ya Vijana 5494 wanaanza mitihani ya kumaliza masomo ya Elimu ya Kidato cha Nne hii leo katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.

Afisa Elimu wa Sekondari katika Wilaya  hiyo Jackson Mpamkuli amesema wanafunzi hao ni kutoka katika Shule za Sekondari 42 zilizopo katika Wilaya ya Kilombero.

Shule 31 kati ya Hizo ni za Serikali na 12 ni za Binafsi huku akiwataka Wanafunzi kuzingatia kile walichofundishwa ili kufanya vyema katika Mitihani yao.

Blog hii imetembelea shule za Sekondari Kilombero, Techfort na Kwa Shungu na kukuta hali ya utulivu huku vijana hao wakiendelea vilivyo na Mitihani yao.

No comments:

Post a Comment