HONGERA ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE

photos

Welcome to UCRC

About Me

Ulanga Community Resource Centre is a not-for-profit company limited by guarantee which was initiated with the aim of capacitating the resident peoples of Ulanga and Kilombero Districts and Tanzania in general to secure the right information and hold their duty bearers accountable in a bid to promote sustainable community development. UCRC as well aims at promoting educational activities in Ulanga District through facilitation of necessary educational resources in the area which include well equipped libraries and study centers. UCRC also works on land and natural resource rights for the marginalized rural people in Tanzania which also include sustainable use of such resources. It also provides legal aid and assistance to the poor, particularly women, children, the disabled and other disadvantaged groups in the society on different themes including land and gender.

Monday, October 1, 2012

MILIONI 29 ZATUMIKA ZAHANATI YA UCHINDILE

Na Henry Bernard Mwakifuna, Uchindile-Kilombero

JUMLA ya Shilingi Milioni 29,649, 750/ ikiwa na Fedha na Nguvu kazi zimetumika kwa ajili ya Kukarabati Zahanati ya Kata ya Uchindile iliyopo Wilayani Kilombero.

Peter Magokola, Mganga Kiongozi wa Zahanati ya Uchindile amemweleza Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bwana Hassana Masala alipotembelea jengo la Zahanati hiyo kuwa Nguvu kazi ya Wananchi Tangu Mwaka 2010 ni Matofali, Mchanga,Kokoto na huduma nyingine thamani yake Milioni 4,240,000/ wakati Fedha kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero ni Milioni 22,409,750/ hadi kukamilika kwa Zahanati hiyo.

Awali akisoma Risala ya Wanakijiji wa Kata ya Uchindile Mratibu wa Elimu wa Kata hiyo Mwalimu Maiko Mwangosi amesea katika Kipengele cha Elimu kuna upungufu katika Idara ya Afya ya Mtumishi wa Maabara  huku mwitikio hafifu wa Jamii katika kuchangia mfuko wa Jamii wa Afya (C.H.F).

Zahanati ya Uchindile inayohudumia vijiji vya Lugala,Uchindile na Kitete ina Watumishi 3 tu wa Afya, katika katika kata hiyo yenye wakazi wanaokadiriwa 2302.


No comments:

Post a Comment