HONGERA ULANGA COMMUNITY RESOURCE CENTRE

photos

Welcome to UCRC

About Me

Ulanga Community Resource Centre is a not-for-profit company limited by guarantee which was initiated with the aim of capacitating the resident peoples of Ulanga and Kilombero Districts and Tanzania in general to secure the right information and hold their duty bearers accountable in a bid to promote sustainable community development. UCRC as well aims at promoting educational activities in Ulanga District through facilitation of necessary educational resources in the area which include well equipped libraries and study centers. UCRC also works on land and natural resource rights for the marginalized rural people in Tanzania which also include sustainable use of such resources. It also provides legal aid and assistance to the poor, particularly women, children, the disabled and other disadvantaged groups in the society on different themes including land and gender.

Monday, October 8, 2012

MFUKO WA BIMA YA AFYA WADAIWA MILIONI 6 NA KITUO CHA AFYA MANG'ULA

Henry Bernard Mwakifuna, Mang’ula-Kilombero
 
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unadaiwa Shilingi Milioni 6,137,822 kams mslipo ya Wanachama ywake katika kituo cha Afya cha Mang’ula.
 
Akiotoa taarifa ya Kituo cha Afya Mang’ula mbele ya Mkuu wa Wailaya ya Kilombero Bwana Hassan Masala, Mganga Kiongozi wa Kituo hicho Daktari EUGEN SHIRIMA amesema moja kati ya Changamoto kubwa  ni Mfuko huo kuchelewesha kulipa malipo ya fedha wanazodaiwa.
 
Amesema mbali ya changamoto hiyo ukosefu wa Gari la Wagonjwa katika Kituo hicho inasababishwa wagonjwa wa Rufaa kucheleweshwa kusafirishwa na wakati mwingine kupoteza masisha.
 
Gari la Wagonjwa lilolokuwa likitumika kituoni hapo la kwanza  lilipata ajali na la pili limeharibika takribani miezi Mitatu sasa.
 
Ukosefu wa Wodi kwa ajili ya Wanaume na  Mipaka ya Kituo cha Afya kuvamiwa ni changamoto nyingine zinazokikabili kituo cha Afya Mang’ula.
 

No comments:

Post a Comment