Ngoma ya Wapogoro ni ngoma adimu na ya pekee sana kuanzia upigaji, uchezaji na ushereheshaji kwa jumla. Natamani apatikane mtu wa kuendeleza mila hii muhimu hata ikibidi kuweka katika kumbukumbu za kiieletroniki kwa kupitia CDs and Tape.
Kushirikiane kuokoa utamaduni wetu huu adhimu kwa kizazi cha sasa na cha baadae. Hizi Bongo fleva ni utamaduni wa Watoto wa Kimarekani. Tusipoteze thamani ya Utamaduni wetu.
No comments:
Post a Comment