Henry Bernard Mwakifuna, Kibaoni-Ifakara.
Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kilombero unatarajifanyika Kesho katika Ukumbi wa Mazingira Kata ya Kibaoni mjini Ifakara baada ya kuahirishwa kutokana na ukata.Katibu wa Elimu,Malezi,Uchumi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kilombero Bwana Benjamini Masepo amesema uchaguzi huo Septemba 11 na uliahirishwa toka Septemba 6 kufuatia ukata ambao kwa sasa wamefanikiwa kuweka mambo sawa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Wajumbe watakao toka nje ya Mji wa Ifakara.Ametaja baadhi ya Wajumbe wa mkutano huo watatoka Kata za Mlimba,Mngeta,Mang’ula na Kidatu.
No comments:
Post a Comment