Na Henry Bernard Mwakifuna- Ifakara
Bwana Julius Ngerangera amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kilombero katika uchaguzi ulioamua matokeo jana Jioni.
Bitheobista Rivumbi amechaguliwa kuwa Katibu wa Halmashauri huku Wajumbe wawakilishi taifa ni Benjamini Masepo, Cyprian Kifyoga na Mariam Matalasa.
Wajumbe wa Baraza la Wazazi Wilaya ni Ally Bendera ,Catheline Singundali na Hassan Goa Goa .
Uchaguzi wa jumuiya ya wazazi uliofanyika September 11 katika Ukumbi wa Mazingira Kibaoni Ifakara-Kilombero .
Uchaguzi huo ulianza na ufunguzi wa uliofanywa na Bw.Cyprian Kifyoga ambaye aliyekuwa mwenyekiti aliyemaliza muda wake ambaye aliwataka wa wanachama kudumisha mshikamano huku akisema aliipokea Jumuiya ikiwa na wanachama Elfu nne na mia tatu mpaka anapotimiza muda wake amefanikiwa kuwapata wanachama Elfu kumi na mbili
No comments:
Post a Comment