Henry Bernard Mwakifuna, Mngeta,Kilombero
JUMLA ya Matofali 175,000 yamekusanywa na Wanachi wa Kata ya Mchombe, Tarafa ya Mngeta Wilayani Kilombero kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo katika kata hiyo.
Shaban Mgaya, Afisa Mtendaji wa Kata ya Mchombe amesema Matofali hayo yanatumika kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa katika shule mbili za sekondari za Kata ambazo ni Mchombe na kiburubutu.
Amesema kuwa kati ya Matofali hayo, Matofali 40,000 yametumika katika ujenzi wa sekondari hizo mbili akichanganua Matofali 23,000 yametumika katika ujenzi wa shule ya Sekondari ya Mchombe na Matofali 17,000 yametumika Sekondari Kiburubutu.
Zaidi ya Matofali 50,000 yametumika katika ujenzi waMsingi wa Ghala na kukamilisha boma la nyumba katika kijiji cha Ikule na Matofali 60,000 yametumika katika kijiji cha Mkangawalo Ujenzi wa Ghala na Madarasa ya shule ya msingi..

No comments:
Post a Comment